magari bei rahisi (na maelewano juu).condition excellent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

magari bei rahisi (na maelewano juu).condition excellent

Discussion in 'Matangazo madogo' started by networker, Apr 19, 2012.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kwa anaetaka magari used kwa bei rahisi na yeneye condition excellent tembelea blog yetu

  (Magari ) pia waweza kutupigia kwenye namba hii 0719539431.

  kama kuna gari unataka tukutaftie tupigie tupe maelezo ya gari unalotaka .

  bei zote ni maelewano unakagua gari kabla ya kununua njoo na fundi wako bora kabisa kwa ajili ya ukaguzi.


  kwa ambae tusha muzia gari au ambae alisha ona gari kwetu tunakuomba uwe shaidi wetu. kupitia post yako

  Natanguliza shukran sana.
   
 2. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  nahitaji starlet kwa 3m. Inapatikana?
   
 3. networker

  networker JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  triple A itabidi nikutaftie lakini itakuwa imetumika sana.unajua haya magari mwanzo watu wali ya dharau zikawa zina uzwa bei rahisi ,lakini baada ya watu kujua ni economical soko lake lika panad .kwa ushauri wangu starlet ya m3 itakusumbua sana. panda dau kidogo tunaeza fanya kazi
   
Loading...