SABUNI ZA MAJI, DAWA ZA CHOONI & SHAMPOO yenye conditioner Zinapatikana kwa bei nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SABUNI ZA MAJI, DAWA ZA CHOONI & SHAMPOO yenye conditioner Zinapatikana kwa bei nzuri

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Poultry Sayuni, Apr 20, 2012.

 1. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari wakuu,

  Tunatengeneza bidhaa hizi za usafi zenye ubora wa hali ya juu, zinapatikana kwa hapa Dar, Kimara-Temboni
  Tuna bidhaa zifuatazo:

  1. Mult-purpose -
  5Ltrs @ Tsh 8000
  1Ltr @ Tsh 2500

  2. Disinfectant -
  5Ltrs @ Tsh 8500.
  1Ltr @ 2500

  3. Hair Shampoo yenye conditioner
  5Ltrs @ Tsh 10,000
  1Ltrs @ Tsh 3000

  Karibuni wote

  Tunaweza kuwasiliana
  0715 615219 - Ms RETI
  KAribuni wote.
   

  Attached Files:

  • 01.jpg
   01.jpg
   File size:
   595.8 KB
   Views:
   90
  • 02.jpg
   02.jpg
   File size:
   665 KB
   Views:
   92
  • 03.jpg
   03.jpg
   File size:
   718.6 KB
   Views:
   95
 2. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hivi hizo sabuni za maji mnatengenezaje? Naomba hayo maujuzi na sie tujikwamue wajameni. Natanguliza shukrani.
   
 3. P

  Poultry Sayuni Senior Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante. karibu Tujiunge pia na weza kukufundisha, baadhi ya vitu na kukuelekeza wapi uta pata ujuzi zaidi.
   
 4. m

  makumvi Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sikuhizi kumezuka wimbi la bidhaa hii karibu kila mahali, mi napenda sana kuona watu wanafanya jitihada za kuwa wajasilia mali ili kujiletea maendeleo, shida inakuja. Je kweli wote wanaotengeneza hizi bidhaa wana uzoefu wa kutosha ? sababu hizi ni bidhaa za mitaani sasa tutafanyaje kulinda usalama wa mtengenezaji na mtumiaji endapo itatokea madhara ya kiafya ?
   
Loading...