Chakula bora kwa kuku na bei nafuu zaidi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chakula bora kwa kuku na bei nafuu zaidi.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by networker, Apr 20, 2012.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Habari wana jamii kwa wale wenye miradi ya kuku tuna uza vyakula vya kuku kwa garama nafuu na vyakula vilivyo na ubora wa hali ya juu na salama kwa kuku wako

  vyakula hivi ni kwa kuku wa nyama na mayai pia ukipenda kwa kuku wa kienyeji ni sawa, vyakula vyetu husaidia kuku kuwa wakubwa mapema ,kuongezeka kilo na pia kutagaa mayai mengi.mfano watu wengi wamekuwa waki nunua kuku mia wa mayai lakini sio wote wana tagaa. kupitia vyakula vyetu kuku wako wote wata tagaa,kuku wa nyama wanakuwa wazito na wakubwa sana hivyo kukupatia faida pindi unapo wauza .

  1-starter- vifaranga wanapo anguliwa
  2-grower- chakula cha kukuzia
  3- finisher- wakisha kuwa wakubwa
  4- layers
  Tuna patikana Ubungo opposite na kituo cha mabibo hostel
  Tunajulikana kwa jina la Lenny feeding
  TUna pokea order kubwa na ndogo na tunasafirisha kwa atakae taka kusafirishiwa mikoani kwa gharama nafu
  bei za vyakula vyetu hivi viina anzia Tsh 32,000 hadi Tsh 36,000

  kwa mawasiliano juu vyakula hivi au kununua piga hizi namba 0655275328 au 0784275328


   
 2. Junior80

  Junior80 Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesomeka mkuu,thanks
   
Loading...