Nyumba ya kupanga kinondoni kanisani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga kinondoni kanisani

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Apr 18, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nyumba ina chumba kimoja cha kulala . sebule jiko na valanda. bei 250,000 0657 14 55 55, 0686 200 117, 0755 099 291 , pia nyumba chakavu inauzwa kinondoni shamba ina vyumba nane . gari inafika mpaka mlangoni au mpaka ukuta wa nyumba ulipoishia. eneo ni uswahiini kiasi. tuwasiliane kwa walio na nia ya kweli . fadhali usibip
   
 2. I

  Iddy Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu tupe pia na bei za nyumba
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  250,000 kwa mwezi inatakiwa kodi ya mwaka mmoja
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Umesema hiyo nyumba ipo kanisani?
   
 5. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  chumba kimoja na seble 250,000? You gotta be kidding
   
 6. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,667
  Trophy Points: 280
  Unaumwa ....
   
 7. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Vipi kaka nyumba chakavu bei yake mbona hujataja? Tutajie tafadhali
   
Loading...