Naomba Kujua kwa anayemfamu Mchungaji John Saimon Omanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kujua kwa anayemfamu Mchungaji John Saimon Omanya

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Haya Nayo Yatapita, Apr 19, 2012.

 1. H

  Haya Nayo Yatapita New Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba Kujua kwa anayemfamu Mchungaji John Saimon Omanya wa kanisa la Cathedral Of Joy lililopo mitaa ya Sinza Shekilango anatuumiwa kutapeli Hela za waumini, Kuvunja Ndoa za wahumini wake na pia inasemekana ni Mshirikina baya zaidi anatembe na Mke wa Muuni na sio huyo pekee tunamjua ameshatembe na wake za watu wengi tu ambao ni waumini wake Kwa anayejua Helimu Yake tunaomba maana anachafua Dini Yetu safi ya Kikristo.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unamjua unauliza nini tena? au ulitaka kutuletea ujumbe huu hapa
  aya hebu tueleze taratibu sasa
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  hahahaa smile umenifurahisha
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wivu tu wakusumbua.
  OTIS
   
 5. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  huyu lazima kamegewa mke wake,inaonekana uli-type kwa hasira sana hii post yako............
   
 6. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  mi namfahamu anapatikana kanisa la Cathedral Of Joy lililopo mitaa ya Sinza Shekilango
   
 7. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Si uhame kanisa sasa?Au na wewe unatakaakupitie ndo ujue ni Mchungaji kweli wa Kondoo wa mwili wako?Changanya akili zako weeeee
   
 8. M

  Munghiki Senior Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni tapeli ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi zaidi ya 4 za utapeli wa fedha pia kwa sasa anatembea na mke wa muumini wake ambaye anafanya kazi TBL!
   
 9. M

  Munghiki Senior Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wivu wa nini sasa hapo hatujakuelewa?kwamba ni tapeli,mzinzi au?
   
 10. M

  Munghiki Senior Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Na ninavyoongea hapa yuko kituoni oysterbay akiwa anaojiwa kuhusiana na tuuma hizo za utapeli!
   
 11. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Naamini huyo jamaa nimepata kumskia ana hila hususani kwa wakina mama wasio makini na ndoa zao
   
 12. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  duuuuh kwa hiyo mnataka mseme mchungaji popobawa huyo!!!""???
   
 13. M

  Munghiki Senior Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yani umenena kka ni muharibifu hafai kwenye jamii!
   
 14. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Si yule jamaa ya Kenya?
   
 15. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kama wewe kweli ni mwamini safi na si agent wakuzimu kwa kujua amakutojua, je ni andiko gani unasimamia kutaka/kusema habari hizi na kwa lengo/kazi gani kimaandiko?
  Je wewe hujawahi kuzini, kusema uongo/kutapeli hata uanze kunyosha kidole?
  Tukumbuke wote ni wanadamu tuko safarini mbele yetu ipo ama mbingu au jehanamu ya moto. Hakimu wa wote ni mmoja hasiyehitaji msaada toka kwa yeyote na anayeweza kutuokoa na matendo yetu mabaya na kutuhesabia haki ni mmoja naye ni kristu yesu tu!

   
 16. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .

  1st: Usijali ... jibu unalo kama Username yako inavyosema ...... Haya Nayo Yatapita!

  2nd: mimi huwa sipendi watu ambao wamejiunga siku hiyo hiyo alafu post ya kwanza bila ya Salaam wala nini wanaanza kuleta mada ambazo hazina vichwa wala miguu za kujadili watu, majungu, hata kama ni kweli etc!

  Kuwa mstaarabu kidogo anza na salaam hata Habari JF,... Hodi! ... enhe alafu ndio unaleta mada yako! .... eeeh vipi bwana?!

  .
   
Loading...