Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
:A S-key: Nimejaribu kutafakari viongozi wa juu walio ndani ya ccm nikajiuliza maswali machache ambayo nimekosa majibu yake, ninaamini wana JF mtanisaidia.
1. Kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa TZ je ni nani anaweza kusimama kifua mbele kwenye uchaguzi 2015?
2. Natambua wengi wetu tunamtazama Dr. Magufuli, lakini ubabe unaweza kuongoza nchi hii,
3. EL tayari kashapigwa mtama na sasa yupo chaliiii
4. Six, huyu ni mzee wa kuropoka, hana msimamo na anayo asili ya umbea, je huyu ndiye PRESIDENT 2015?
5. Dr Mwakyembe, Prof. Mwandosya hali yao ilivyo sasa nadhani watatangaza kuachana na siasa, hao tunawaondoa.
6. Wasila, huyu ni mzaee wa kusinzia sinzia, hofu yangu anawenza kusinzia akajikuta nchi wameiteka.
My take: Nadhani ni wakati mwafaka kwa ccm kukubali kukwepa aibu kwaba ya matokeo 2015 na kuamua kutosimamisha mgombea 2015 ili watumie fursa hiyo kujifunza namna ungozi bora ulivyo toka CDM
Nawasilisha.