nyumba hii inauzwa ipo karibu kabisa na barabara inafaa kwa matumizi ya yard au kujenga apartment. au nyumba ya kisasa kwa . havilla Real Estate Agent 0657 14 5555, 0686 200 117, 0755 099 291
Seven Estate Agent/Property & Real Estate Tanzania of Tanzania proudly spreads its wings to our beautiful country of Tanzania and wishes to introduce you to our new and unique (first of its kind)...
Habari za leo wana JF.
Mimi ni mkulima ninayesafisha mashamba mapya maeneo ya Ruvu.
Katika usafishaji wa mashamba hayo, kuna miti mingi inayofaa kwa kuni inapatikana.
Mzigo wa kuni za jumla...
kuna Bmw inauzawa mtanisamehe sina picha hapa.kwana imetokea urgent sana anae uza hii Gari anashida sana ya kusafiri haraka sana hivyo anauza Gari yake Aina ya BMW kama unataka piga hiyo namba...
A surveyed plot located at Mbweni Mpiji in Kinondoni Municipality with 1700 square meters size. The has clean tittle deed. Price 40mil. For more information call:0717114409.
Natafuta landcruiser mkonga iliyoa kwenye hali nzuri,test drive kwenda Cairo,
Malipo ndio yafanyike.liwe na leaf au coil maaelewano tu.Nipo Dar,piga 0712203565 tutete!
Na Vitara 3 doors,yenye...
Summary:
WAZZUB is the first online comunity that shares its Success with "us" the users. It would like to introduce us to the new way where we can shop for free without using our money.
Just by...
Hello JF,
Nina mdogo wangu aliyeko chuo mwaka wa pili anasoma Business Administration anahitaji mwalimu wa ziada wa kumfundisha na kumuelewesha Cost & Management Accounting kwan somo limekua...
Wadau nahitaji projector aina ya Epson kuanzia lumens 2500....kama una model nyingine nzuri (sio ya kixhina) naweza kuchukua...call me on 0712300200, plz usibeep..
Wanajamii nawasalimu...!
Ninatafuta gari ya kununua aina ya RAV 4 au Suzuki ya mwaka 2000 na kuendelea...! Iwe kwenye hali nzuri....! Nitapendelea kama muuzaji atakua hapa Dar es Salaam...
Flash Disks ya aina ya TOSHIBA.
2gb- 9,000/-
4gb- 10,500/-
8gb- 12,500/-
* With 1 Year Warranty.
* Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi.
* Special for RESELLERS.
Mwenge kuna frame kubwa nzuri kwajili ya biashara kama maduka hotel nk, Tsh 1,000,000 kwa mwezi, Kodi ni miezi 6 tu. Kwa mawasiliano: 0714-074040,0767-074040-0783-074040. Changamkieni deal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.