Kuni zinauzwa (kwa Jumla)

Kuni zinauzwa (kwa Jumla)

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Habari za leo wana JF.

Mimi ni mkulima ninayesafisha mashamba mapya maeneo ya Ruvu.
Katika usafishaji wa mashamba hayo, kuna miti mingi inayofaa kwa kuni inapatikana.
Mzigo wa kuni za jumla unauzwa Tzs. 100,000 (Tzs. laki moja) kwa ujazo wa canter / fuso ya tani 3.

Wanunuzi wa kuni za jumla, wasambazaji wa kuni kwenye mashule na vyuo, na wengineo wote wanakaribishwa.

Mawasiliano yangu:-

Daudi Senkondo
0658-310981 (tigo)
0789-310981 (airtel)
0754-310981 (voda).
 
Kuni hizi zinapatikana huko Ruvu kwenyewe, ambako ni kilometa 100 toka Dar es Salaam.
Kuni ni nzuri sana za miti ya asili.

Asanteni.
 
hili ni dili kwa shule za sekondari

Hakika mkuu.
Wale wote wenye tenda za kupeleka kuni kwenye mashule na vyuo wanakaribishwa sana.
Miti ya kuni ni mingi sana, watapata kuni kwa wingi.
 
Habari za leo wana JF.

Mimi ni mkulima ninayesafisha mashamba mapya maeneo ya Ruvu.
Katika usafishaji wa mashamba hayo, kuna miti mingi inayofaa kwa kuni inapatikana.
Mzigo wa kuni za jumla unauzwa Tzs. 100,000 (Tzs. laki moja) kwa ujazo wa canter / fuso ya tani 3.

Wanunuzi wa kuni za jumla, wasambazaji wa kuni kwenye mashule na vyuo, na wengineo wote wanakaribishwa.

Mawasiliano yangu:-

Daudi Senkondo
0658-310981 (tigo)
0789-310981 (airtel)
0754-310981 (voda).

Safisha kwa kuzingatia mazingira mkuu,(usifanye jangwa kabisa). Anyways kila la heri katika biashara yako ya kuni.
 
Kweli kabisa.
Roky, wasiliana na jamaa wa mali-asili wakwambie aina za miti ya kukata na aina za miti ya kuiacha shambani.
 
Nimeshawasiliana na jamaa wa mali-asili, wamenielekeza vizuri sana.
Vile vile, kwa miradi yangu ambayo naipanga kuiendesha huko shambani, nitahitaji maeneo fulani ya shamba yawe na miti mingi sana, hivyo nalazimika kuvuna miti kwa uangalifu sana.
 
Back
Top Bottom