Nyumba inauzwa ipo kinondoni a

Nyumba inauzwa ipo kinondoni a

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
nyumba hii inauzwa ipo karibu kabisa na barabara inafaa kwa matumizi ya yard au kujenga apartment. au nyumba ya kisasa kwa . havilla Real Estate Agent 0657 14 5555, 0686 200 117, 0755 099 291
 

Attachments

  • 292291_378610708847124_100000945958763_947606_1855031795_n.jpg
    292291_378610708847124_100000945958763_947606_1855031795_n.jpg
    88.7 KB · Views: 94
Hiyo Nyumba au Kiwanja?, i wish ningekuwa naweza kununua baadae unajenga apartments kama zile za Richmond za pale Upanga inalipa kweli kweli...
 
Mkuu mbona siioni hiyo nyumba naona gari halafu kwa nyuma kama banda hivi! Au hiyo nyumba ipo kwa nyuma yake?
 
hakuna hata space,mh nina million nane kama unataka....:alien:
 
Ogopa matapeli Nyumba hii haiuzwi moja ya nembo maarufu mjini mzazi.
 
mkuu naona ndio umeanz biashara

unatakiwa kuweza size ya plot, kama ina hati,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom