mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
kuna yeyote mwenye data za kuhusu bei ya magari ya kukodishwa kwenye maharusi...
tusaidiane mawazo ndugu zangu.
tusaidiane mawazo ndugu zangu.
cheki na huyu jamaa hapa......
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/260675-kukodisha-gari-kwa-ajili-ya-shughuli.html
Itabidi na mie nianze chukua uzoefu.
Nitatangaza nia hapa hapa
OTIS
inategemea na aina yanafika hadi 400000 -500000
cheki na huyu jamaa hapa......
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/260675-kukodisha-gari-kwa-ajili-ya-shughuli.html
Hivi wewe preta hii avator yako ndo wewe mwenyewe. Na kama sio wewe naomba mungu uwe umeitendea haki nikimaanisha uwebomba kama yenyewe.
Na kama kwa namna moja au nyingine nimekukwaza nisamehe kama ambavyo mungu huwasamehe viumbe wake
usijali Tripo9.....hii sio picha yangu ni avatar tu......
mimi mwenyewe ukiniona.....hutaamini na unachokifananisha na hii avatar.....
so we baki na mtazamo wa avatar hivyo hivyo.....he he he......