Frame kwa wanaohitaji maeneo ya mwenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Frame kwa wanaohitaji maeneo ya mwenge

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pelham 1, May 1, 2012.

 1. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mwenge kuna frame kubwa nzuri kwajili ya biashara kama maduka hotel nk, Tsh 1,000,000 kwa mwezi, Kodi ni miezi 6 tu. Kwa mawasiliano: 0714-074040,0767-074040-0783-074040. Changamkieni deal idadi ya Frame zilizobaki ni chache.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  du bei kama kkoo?
   
 3. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Si unajua ndugu yangu wenye Manyumba njaa kali mjini wanawekeza kwny maframe ya biashara sasa hv Ila hizo Frame za ukweli ni ghorofa chini na juu mi Darali sijaweka changu, Mteja akiipenda tunaelewana.
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  mwenge sehemu gani mkuu? naomba uwe specific kwani Mwenge ni kubwa na kasi ya biashara ni tofauti tofauti kutoka mtaa hadi mtaa na nyumba hadi nyumba. Ni huu uchochoro karibu na magengeni ambazo watu wamezikimbia?
   
 5. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Kodi ni pasua kichwa sana siku hizi,tutafika kweli?
   
Loading...