Tuition teacher wa cost & management accounting anahitajika.

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Hello JF,
Nina mdogo wangu aliyeko chuo mwaka wa pili anasoma Business Administration anahitaji mwalimu wa ziada wa kumfundisha na kumuelewesha Cost & Management Accounting kwan somo limekua kidogo zito kwake. Anahitaji msaada wenu sana. Ntashkuru msaada na mawazo yenu.

Thanx in advance.
 
Biashara matangazo:

1. Yupo wapi?
2. Atafundishiwa wapi?
3. Fees upange wewe kama kivutio
4. Muda wa masomo na atahitaji elimu kwa muda gani?
5. Anajua hesabu?
 
jibu hayo maswali ya mdau hapo juu na mimi nitakuwa kwenye wakati mzuri wa kukujibu
 
Biashara matangazo:

1. Yupo wapi?
2. Atafundishiwa wapi?
3. Fees upange wewe kama kivutio
4. Muda wa masomo na atahitaji elimu kwa muda gani?
5. Anajua hesabu?

Atafundishiwa nyumbani kwa mwanafunzi, fees 40,000/= haipand haishuki, basic maths anajua, na ni kwamba idea ya somo anayo ni swala la kuwekana sawa kwenye concepts na problem solving. duration 2 or 3 weeks.
 
Hiyo fees ni kwa saa au kwa siku? ni kuanzia saa ngapi nimfundishe? Nyumbani ni wapi ili kukadilia gharama za kufika hapo.
 
Atafundishiwa nyumbani kwa mwanafunzi, fees 40,000/= haipand haishuki, basic maths anajua, na ni kwamba idea ya somo anayo ni swala la kuwekana sawa kwenye concepts na problem solving. duration 2 or 3 weeks.

Kama ana Idea basi sio muhimu sana mwalimu . Akikosa mwalimu Anaweza kujifundisha mwenyewe kwa kujisomea article,vitabu au kucheki video kwa muda wa ziada.

Hizo 50,000 Tsh Kama ana kompyuta Mpatie ziwe za kununua bundezanet atafute vitu kama Hivi hapa online . Na video zipo youtube na mitandao mingine.

Kama ni mwanafuzi wa chuo mshauri mwambie TUTION iwe ni last option.
 
Aisee we mtu ni wa ukweli sana....i never thought of such a thing which is actually very possible. Thanks a lot buddy preciate it.....nakuomba sana unitupie material yote ya cost & management accounting....Utakua umemsaidia sana kijana wetu.
 
hahahahaahaaaaaa, kumbe tchr alniambia kwel et unakuta m2mzma mwanachuo anaulzia 2tion duh.! Sa alfkaje huko.? Alchukuaje ac chokiweza.!
usiwe kama kula kulala kabla hujatoa comment jifunze kufikiri, kijana ni kichwa kamaliza mzumbe pcm na ana division 1 ameona mbali na akaamua kusoma biashara cost a/c anaiweza ni vi concept vdgo tu vinamtatiza ukicheck ni kijana ana mishe zake town hapa so anakosa tym ku discuss na washkaji.
 
haya maelezo yameondoa maswali mengi sana nilikua nayo juu ya huyo kijana kama vip kesho nitakuakutumia namba ya mkali mmoja huwa anawapiga mapindi wananchi pale cbe na IFM ila kwa hiyo bei m not sure kama atakubali, Any way mtaongea wenyewe
 
ujumla mm ni mtaalamu sana wa Accounts na cost accounting inafundishwa mwaka wa pili kwa pale UDSM, ila ndugu yangu nmimeshangaa kusikia mwanachuo anatafuta twisheni.au ndo product za shule za kata? ok kwakuwa umetangaza dau unaweza ukani PM tukaongea zaidi.
 
Tuition chuo kawaida, kesho utaomba research proposal atayarishiwe,sitaki malumbano, tutafika kweli bongo?
 
haya maelezo yameondoa maswali mengi sana nilikua nayo juu ya huyo kijana kama vip kesho nitakuakutumia namba ya mkali mmoja huwa anawapiga mapindi wananchi pale cbe na IFM ila kwa hiyo bei m not sure kama atakubali, Any way mtaongea wenyewe

Thanx a lot brother.....we ntumie tu hzo contact nitamuagiza dogo awe ana attend hapo !!!
 
Kwa nn usimnunulie vitabu akajisomea??? Nimesoma coz hii cost accounting na management accounting!!!

Tena PCM, lazma ni kichwa. Mnunulie vitabu banaaaaa.
 
Atafundishiwa nyumbani kwa mwanafunzi, fees 40,000/= haipand haishuki, basic maths anajua, na ni kwamba idea ya somo anayo ni swala la kuwekana sawa kwenye concepts na problem solving. duration 2 or 3 weeks.

hiyo 40,000/= kwa siku au?
 
usiwe kama kula kulala kabla hujatoa comment jifunze kufikiri, kijana ni kichwa kamaliza mzumbe pcm na ana division 1 ameona mbali na akaamua kusoma biashara cost a/c anaiweza ni vi concept vdgo tu vinamtatiza ukicheck ni kijana ana mishe zake town hapa so anakosa tym ku discuss na washkaji.

Statement zako zinaonesha huyo kijana ndio wewe.Na kingne huyo kijana sio kichwa wala nini,ni aina fulani ya KILAZA.Yaani mtu ule div 1 ya pc-kunani then "cost n management" ikutoe mchezoni??
 
Mkuu dau dogo sana halafu dogo anaonekana kilaza chuo huwezi kutafuta tuition...ongeza dau
 
Back
Top Bottom