Kiwanja kinauzwa-tabata kinyerezi dsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa-tabata kinyerezi dsm

Discussion in 'Matangazo madogo' started by solon, Jul 7, 2012.

 1. s

  solon Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja chenye ukubwa wa mita 30 kwa mita 30 kinapatikana maeneo ya kinyereai tabata

  mawasiliano zaidi;0783422874
   
 2. F

  FELIPE Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  bei gani mheshimiwa?
   
 3. s

  solon Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bei yake ni Tshs. 22 million
   
 4. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Milioni 22?
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuh, hebu kielezee sifa zake za ziada mpaka tuone kina stahili hizo 22ml. maana kama kingekuwa kikubwa sana tungesema kweli lakini kiwanja tu 22ml?
   
 6. s

  solon Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo mkuu kama unahitaji njoo ukione kipo vizuri
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  kimepimwa hati?
   
 8. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  kuna ofa ya kujengewa bure nn?? Hebu tujuzane mkuu??
   
 9. s

  solon Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiwanja tayari kina msingi wa nyumba kubwa pamoja na matofali ya kuendeleza ujenzi.

  Yaani msingi wa nyumba uko tayari
   
 10. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  sehemu gani kinyerezi? sio bondeni?
   
 11. s

  solon Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kina msingi wa nyumba kubwa umeshajengwa
  pamoja na matofali ya kuandeleza ujenzi
   
 12. motza

  motza Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tujuze ukubwa wa hicho kiwanja.
   
 13. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Weka picha mkubwa
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nina kiwanja hapo kinyerezi mkuu karibu na kanisa la roma pale juu karibu na shule ya msingi,nachojua walituzuia kuendelea na ujenzi mwaka juzi mpaka vipimwe,sasa hicho kiwanja kilishapimwa?kina hati?
   
 15. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Milioni 22 ni uwanja tu ama chini ya ardhi yake kuna madini muuzaji sema hana zana za kuyachimbia
   
Loading...