Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,119
- 349
Nyumba hii haijakamilika. Ina vyumba vitatu vya kulala. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 50 kwa mita 30. Bei ya kuuzia ni sh 45mil. kukiona au maelezo ya ziada tuwasiliane kupitia 07171114409.