mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,144 Reaction score 8,882 Jul 8, 2012 #1 Kwa anayeumiliki msitu wa Mabwepande nataka kuununua kwa bei yoyote ile,nawakilisha
BIG Banned JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 262 Reaction score 71 Jul 8, 2012 #2 Chukua Bure!!.
MNYISANZU JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 7,046 Reaction score 1,105 Jul 8, 2012 #3 WatakuUlimboka bure bora ukafuge simba na chui humo.
The Listener JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 993 Reaction score 217 Jul 8, 2012 #4 mfianchi said: Kwa anayeumiliki msitu wa Mabwepande nataka kuununua kwa bei yoyote ile,nawakilisha Click to expand... Nakushauri uwaulizie wale wanaoutumia kwa 'shughuli zao'. Nadhani utakuwa umenipata vyema
mfianchi said: Kwa anayeumiliki msitu wa Mabwepande nataka kuununua kwa bei yoyote ile,nawakilisha Click to expand... Nakushauri uwaulizie wale wanaoutumia kwa 'shughuli zao'. Nadhani utakuwa umenipata vyema
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Jul 8, 2012 #5 CCM hawauuzi huo msitu...
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,187 Reaction score 619 Jul 8, 2012 #6 hawawezi kuuza, manake watakosa pa kufanyia kafara
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,661 Jul 8, 2012 #7 Ha ha ha!!!Ukitaka mgodi wa dhahabu utapewa bure lakini sio kununua Mabwe...!!!
Democracy999 JF-Expert Member Joined May 26, 2012 Posts 945 Reaction score 190 Jul 8, 2012 #8 Tunaufanya buga ya Taifa, will creat a lot jobs and money for the state
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,144 Reaction score 8,882 Jul 9, 2012 Thread starter #9 Haha jamani nataka kuwekeza ili serikali ipate kodi, kuwa hifadhi ya makaburi ni kuikosesha serikali mapato
Haha jamani nataka kuwekeza ili serikali ipate kodi, kuwa hifadhi ya makaburi ni kuikosesha serikali mapato
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,366 Reaction score 37,891 Jul 9, 2012 #10 mfianchi Weka propasal zako pengine watashawishika kukuuzia. mfianchi said: Haha jamani nataka kuwekeza ili serikali ipate kodi, kuwa hifadhi ya makaburi ni kuikosesha serikali mapato Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mfianchi Weka propasal zako pengine watashawishika kukuuzia. mfianchi said: Haha jamani nataka kuwekeza ili serikali ipate kodi, kuwa hifadhi ya makaburi ni kuikosesha serikali mapato Click to expand...
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,333 Jul 9, 2012 #11 awawezi kuuza ata ungetoa pesa nyingi kiasi gani,uo msitu upo kwa kazi maalumu