used nokia N73 for sale

used nokia N73 for sale

Unantia machungu hii simu kama hii nilinunuaga laki tano na nusu mwaka 2007 imeshakufa dogo anafanya toi lake!
 
Fanya 70k...Weka Picha Tatu tofauti tofauti! Upate Pesa
 
I have mine since 2007, still working. Naipenda sana hii simu.
 
wakuu naomba nieleweke hv natumia simu so issue ya ku upload picha inakuwa shida, afu siwezikuweka namba yangu humu hadharani just pm me there we can talk.. Kwa mwenye nia

mkuu siku hizi namba za simu si siri tena,pia duniani si mahali salama kwa kujificha tena,si unaona mambo ya samsung galaxy? Watu wanajua hadi uluposimama sasa hivi sembuse namba alaaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom