Nahitaji Mtaalamu wa Ujenzi

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Nataka kufanya marekebisho flani kwenye nyumba, tayari architect amekwishafanya michoro sasa ninatafuta mtu anayeweza kufanya kazi ya ujenzi, site ipo salasala.

mtu anayeweza au mwenye interest aniPM ili kama vipi jumapili twende tukaangalie kazi na nipate makadirio yake

tukielewana kazi itaanza mapema
 
kuna fundi namfahamu ni fundi mzuri na ni mwaminifu. Alinisaidia kurekebisha ya kwangu. Yeye kusema kweli siyo msomi kama unatafuta mwenye degree basi huyu hakufai. Ila mimi namjua ni fundi makini na mwaminifu. Namba zake ni 0784-822978
 
Nataka kufanya marekebisho flani kwenye nyumba, tayari architect amekwishafanya michoro sasa ninatafuta mtu anayeweza kufanya kazi ya ujenzi, site ipo salasala.

mtu anayeweza au mwenye interest aniPM ili kama vipi jumapili twende tukaangalie kazi na nipate makadirio yake

tukielewana kazi itaanza mapema

nitakucheck on that
 
unatafuta mtaalam wa ujenzi kwa maana ya "contractor" au Fundi mwashi? be specific
 
Nami naungana na aliyetaja ana fundi asiye na degree. Nami ninaye ambaye alinijengea nyumba yangu na kurekebisha banda langu
Ni mzuri lakini hana degree. Sifa yake kubwa ni UAMINIFU haibi kitu chochote.
No yake ni 065 39 64 211 - Anaitwa Kidevu
 
asante mvumilivu wangu
 
Mkuu hakuna fundi asiyepiga panga!hata fundi akiwa muaminifu vipi,vibarua wake watakupiga cement tuu!cha muhimu uwe na msimamizi asiyechoka!manake jua kali saa 8 msimamiz akienda kula ndio hapo unapigwa bao!kila la heri mkubwa
 
Jaribu na huyu mwenye no 0712519797 yeye anaitwa Thomas,ni fundi mzuri sana na ndio anayenijengea nyumba yangu na ni mtu muaminifu.
 
Kwa haraka haraka mafundi wote waliopendekezwa hapa ni waaminifu...sasa ni nani wanaoibia wajenzi? ni vibarua? au inawezekana kabisa watu hawaibiwi ila wasi wasi tu.. mi nadhani huwa hamuibiwi acheni woga, mafundi wote ni waaminifu, haswa hawa wasio na madegree!!:israel::israel:
 
Ok,
Kama unahitj. vifaa vya ujenzi.. umipigie huyu jamaa.
Anayo vitu za ujenzi za kisasa, na pia ana fiti.
0655 768 786.

Pia Anafanya Wood Flooring (leminated)m
...
 
Kwa haraka haraka mafundi wote waliopendekezwa hapa ni waaminifu...sasa ni nani wanaoibia wajenzi? ni vibarua? au inawezekana kabisa watu hawaibiwi ila wasi wasi tu.. mi nadhani huwa hamuibiwi acheni woga, mafundi wote ni waaminifu, haswa hawa wasio na madegree!!:israel::israel:

Kwa mtazamo huo naona mafundi wenye degree ndio wezi basi!,
 
Back
Top Bottom