Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tumia namba hii 0754828280
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nina deal ya kubadilishana kiwanja nyumba.mimi nina kiwanja with clean tittle deed of 99 years 700 sqm kipo bunju a, just short distance from bagamoyo main road.kipo kwenye kona kwa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada kwa wale wakazi wa Morogoro,wanisaidie wanapopatikana mafundi wa laptop,mimi ni mgeni maeneo ya Moro!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yeyote anayefaham dalali wa nyumba ya kupanga/vyumba Arusha anipm plz
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Bakery yenye kujitosheleza kwa vifaa na ndani ya jengo Zuri pembeni ya main road inapangishwa au mwenye mahitaji anaweza kuinunua pia! Mwenye mahitaji ya kweli tuwasiliane kwa namba hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ipad2 wifi+3G Capacity 16GB price 950,000, iphone 4, 16Gb price 700,000, Samsung Galaxy S2 price 750,000, Sony Ericsson Experia LT15i price 550,000
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello wadau nahitaji mini_laptop iwe na specifications zifuatzo; RAM - 2GB, PROCESSOR - 1.8GHZ, HDD - 240GB au zaidi. Pesa iliyopo ni TSh.380,000/- Ni PM tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Natafuta TOYOTA RAV 4, Iwe ya milango mi 5. Nitajie imetembea km ngapi? year of manufacture. Imeingia nchini lini? rangi yake? na taarifa zingine muhimu. Bila kusahau unauza bei gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
yeyote mwenye simu kati ya hizo ani pm tufanye biashara..
0 Reactions
2 Replies
932 Views
nauza nokia c3 nime2mia kwa muda wa miez miwili 2,nipatie elfu 90 cash nikuachie,ni pm ka unahitaj
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mil 170 at mbezi beach 600meters from bagamoyo road ,master 1, 2 rooms,fence call 0755217702
0 Reactions
2 Replies
946 Views
bado ina hari nzuri kama inavyoonekana . ni ya mwaka 2000. inauzwa Tsh. 15,000,000/= kwa anayehitaji 0657 14 5555, 0686200117
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Natafuta nyumba ya kupanga mbeya mjini. Iwe ya vyumba viwili, sitting na jiko.Iwe na fensi na sehemu ya kutosha kwa parking na kuweka ng'ombe mmoja au wawili wa maziwa. Naomba mwenye nyumba yenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji simu yoyote inayotumia Android Os...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
I am no longer distributing this product. It's not profitable to large number of retailers.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa mtwara mbae.... Kina hati... Kina heka 15.. Kipo barabara kuu ya kwenda lindi.... Bei maelewano! Kwa mawasiliano piga 0689531454
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nyumba ya vyumba vitatu na sebule ipo mbezi makabe bei 12mil pia kuna maelewano contacts 0715093785 gari inafika mpaka mlangoni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fremu nzurii na kubwa inafaa kwa duka la dawa duka la chakula na biashara ya vifaa vya ujenzi nk. Bei yake ni Ths. 80,000/=, kwa mwezi na mkataba ni wa miezi 6, sita, sichukui kodi kwa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa, kipo ubungo kibangu ukubwa 18x20 gari inafika na kuna tofali zakutosha kabisa ambazo mmiliki alitaka kujenga then yakatokea matatizo.bei 6MILION pia kuna maelewano kwa mwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Brand new na box lake 2,200,000/= cash
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…