Check this out! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Check this out!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by gorretti54, Jul 11, 2012.

 1. gorretti54

  gorretti54 Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ALOE LIPS


  • Ni bidhaa ndogo lakini inatumika kwa huduma ya kwanza, ina aloe vera , jojoba oil na nta ya nyuki ambayo husaidia kulainisha, kuboresha midomo na ngozi kwa ujumla .
  • Husaidia kuondoa mipasuko ya midomo, ukavu, vidonda na michubuko.
  • Pia husaidia na kuondoa maumivu na kuponya watu walio jikata, kung’atwa na wadudu na kuungua moto.
  • Bidhaa hii ikipakwa mwilini husaidia kufukuza mbu.
  • Kwa wenye matatizo ya kuvimba sehemu ya haja kubwa(haemorrhoids), ikipakwa husaidia kuu bacteria na kuondoa uvimbe. Tsh 6,000/-  ALOE VERA SHIELD DEODORANT STICK


  • Ina aloe vera ya asili inayoua vijidudu na inyoondoa harudu mbaya katika makwapa.
  • Haina chumvi chumvi za aluminium. Aluminium ni sumu na huharibu mfumo wa fahamu,huvuruga kiwango cha calcium kwenye mwili na hivyo kuathiri parathyroid gland . Parathyroid gland ikizidi husababisha maumivu, magonjwa ya akili na constipation. Pia husababisha miwasho , majipu na vimbe.
  • Haina Alcohol wala anti-perspirant hivo haiharibu ngozi wala kuziba vitundu, pia haichomi na hutumika hata baada ya kunyoa nywele za makwapani.
  • Inaweza kutumiwa kwa muda mrefu. Tsh 12,000/-  FOREVER BRIGHT ALOE TOOTH GEL  • Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na ‘stabilized’ Aloe vera gel pamoja na bee propolis hivyo huu bacteria na vijidudu vyote.
  • Inang’arisha meno bila ya kuchuna tabaka la juu la meno – ENAMEL
  • Huzuia meno yasitoe damu , kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila ya kupiga mswaki.
  • Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara.
  • Haina fluoride kama dawa za meno nyingine masokoni. Fluoride huleta madhara mwilini kama ikimezwa.
  • Hutumika muda mrefu. Tsh 13,000/-


  AVOCADO FACE & BDOY SOAP

  Natural beauty starts with clean, healthy skin. And clean, healthy skin starts with nature. For over 30 years, Forever Living Products has been a leader in finding and perfecting natural sources for softer, smoother, beautiful skin. Our Avocado Face & Body Soap is a perfect example.
  Made with 100% pure avocado butter, Avocado Face & Body Soap loves your skin, moisturizing as it cleans with the natural, rejuvenating properties of this powerful fruit. Avocado offers relief for almost every skin type, gently cleansing oily skin with no irritation to keep pores clear and healthy. For dry, sensitive skin, it soothes quickly and penetrates to nourish and moisturize. Tsh 11,000/-

  Mobile: 0783 454523
  0769888605
  Email : gorretti54@gmail.com
   

  Attached Files:

 2. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  prohibited
   
 3. gorretti54

  gorretti54 Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 4. gorretti54

  gorretti54 Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
Loading...