Technology 4 Africa Co. Ltd ni kampuni inayotoa huduma zote za IT ikiwa ni pamoja na Computer maintenance and troubleshooting, Networking and technical support, website/graphics designing...
Wadau ninauza my Nokia N900 ina mwaka mmoja na ipo katika khali nzuri. Ina 32GB built in na memory card ya 16GB. Nimeamua kuiuza sababu ya matatizo tu. Bei ni kuanzia 450,000/- ina ina accesories...
Anahitajika fundi wa kutengeneza Sign board lenye kutumia taa.
Awe mkazi ws Dar es da es.
Kw maelezo zaidi piga:
nimuhimu ukiwawah;
simu +255713-810857
Hey guyz just signed up on R.N....check owt my tracks n give me your feedback FatzBeatz | Dar es Salaam, TZ | Hip Hop | Music, Lyrics, Songs, and Videos | ReverbNation :)
Wadau kiukweli kuna bidhaa hizi zinauzwa bei chee mno, lkn wenye nazo hawajui au wakokizamani sana kuuutangazia umma juu ya bidhaa zao. Mchana wa leo nimenyanyua laptop saafi dell lat. D 630 kwa...
Nokia 5800 Xpress Music inauzwa kwa laki 3 tu. Ni very new, bei ya dukani ni laki 6, but nauza kwa nusu bei tu.Kama una hela pungufu please don't bother to call.Wenye mpunga kamili call me @ 0788...
Jipatie Blackberry Curve 9300 yenye 3G kwa bei chee kabisa, specs ni kama ifuatavyo:-
Available Features
3G network support
Optical trackpad
Full QWERTY...
One large classroom, 3 medium size classrooms, office for principal with office for secretary and 3 other offices for staff. Also there are 2 detached houses and toilets for students, including...
Ndugu wana JF
Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa. Shamba hili lipo maeneo ya Msalato umbali wa km 10 kutoka katikati ya mji wa Dodoma. Shamba hili lipo karibu na uwanja mpya wa kimataifa wa...
Viwanja 14 vinauzwa kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 1500. kila kiwanja kina Hati Miliki. Kila kimoja kinauzwa shilingi 15mil. Vipo umbali wa kilomita 3.5 kutoka New Bagamoyo Road. Kwa...