Upo kijijini!? Umechoshwa na luku!? Jipatie umeme wa solar ya uhakika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upo kijijini!? Umechoshwa na luku!? Jipatie umeme wa solar ya uhakika!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lara 1, Jul 23, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu!ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja mbalimbali.Wanauwezo wa kuwahudumia wateja wa aina zote, Wameshafanya miradi mbalimbali ambayo imeleta matokeo mazuri, ya uhakika na yakuaminika inayojumuishaKufunga Solar kwenye ofisi za miradi na asasi mbalimbali za vijijini.Kufunga Solar kwenye minara ya simu ya kampuni kubwa ya simu.Kufunga Solar kwenye Hoteli kadhaa za kitalii mbugani.Kufunga Solar kwenya Dispensary ya vijiji kadhaaKufunga Solar shule kadhaa za SekondariKufunga Solar Majumba ya vijijini ya wananchi wa kawaida na vizito kadhaa.Kama ungependa kuona client base yetu tafadhali tuwasiliane na unakaribishwa.Bei inategemea na ukubwa wa mradi, ila bei inaridhisha, na kazi unapata ya uhakika.MawasilianoOffice LocationArcade House, 1st Floor, Old Bagamoyo Road, Mikocheni BAddressP.O .Box 29961Dar es SalaamMobile: +255 (0) 654 322 585Email: info@espitechtz.comWebsite: Espitech | Home
   
 2. d

  dandabo JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  mkubwa umefanya jambo jema kuweka hili bandiko! Nimekuwa nikisita sita kuwa nunua solar kwa ajili ya jengo la kuishi huko mkoani! Fikiria nyumba yenye vitu vya kawaida tu kama jokofu, tv, pasi computer nk. Je solar inaweza kuendesha vitu vyote hivi bila kulazimika kuzima baadhi ya vitu? Kumbuka jokofu litakuwa on masaa 24. Kama ndiyo sola yenye uwezo huo inaweza kudumu kwa muda gani kabla ya kumuita fundi kuanza matengenezo makubwa? Je nije na kiasi gani cha fedha nijitwalie? Je naweza kupata fundi au mafundi wa kutoka hapo ofisini kwenu waje kunifungia? Nao nawalipaje?
   
 3. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Ungeweka specifications za output capacity ya hizo solar systems; solar panels zinatoa watts kiasi gani; je, betri za inverter ni kiasi gani; inverter zinatoa watt kiasi gani; na umeme wa A/C ni single-phase au 3 phase?

  Gharama za kawaida kwa umeme wa single phase na 3 phase ni kiasi gani? Tupe specs
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  haya mkuu thanks kwa ushauri, naahidi nitaupload mda si mrefu.
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  solar ya kuendeshea hivo vitu ipo mkuu, tumefunga hoteli nyingi kama hotelini imeweza kwako haiwezi kunoki mkuu, maswali yako ni ya kiufundi na mimi ni mtu wa masoko, nakuomba upige namba hiyo uongee na engineer au karibu ofisini uongee na mtaalamu na kujionea zaidi.
   
 6. d

  dandabo JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Haya mkuu, itabidi niwatembelee!
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kwa wale tunaotumia vibatari kuna hii link inaonyesha uwezekano wa kupatikana taa tu ya solarkwa bei nafuu sana.

  Wakawaka Taa ya Tanzania
   
 8. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Si vifaa vyote unatumia wakati mmoja, labda fridge ndiyo inatumika muda wote. Ni vizuri kujua vifaa vyako vinatumia watt ngapi za umeme ili uweze kujua matumizi yako ya umeme kwa ujuma. Kufanya hivyo itakuwezesha kujua ni size gani ya solar panels unahitaji, na ngapi, betri ngapi, charge controller ya kiwngo kipi na inverter ya kiwango kipi. Ni bora vilevile ufikirie kununua vifaa vinavyotumia umeme wa dc moja kwa moja kama fridge, tv n.k.

  Ili uwe na uhakika wa umeme hata pale jua linapolosekana, kwa mfano wakati wa kipindi cha kipupwe ambapo hakuna jua la kutosha, au hata usiku, ni bora ufikirie pia kufua umeme kwa kutumia upepo kwa kufunga wind turbine na kuunganisha pamoja na system yako ya solar. Kwa kufanya hivyo betri zako zitakuwa zina charge usiku na mchana, hasa kama unakaa katika mahali ambapo kuna upepo wa kutosha.
   
 9. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Natoa shukrani za dhatiii kwa wale mliosoma na mkapokea habari hii na mmepiga simu kuulizia zaidi, kuweka oda, kututembelea ofisini kweu na kutualika maeneo mlipo hususani Songea tuwaletee biashara, huo ndo usomi wa JF. Big up sana wadau
   
 10. d

  destiny1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli haujaitendea haki fani yetu ya masoko, yani hata bei ya bidhaa zako haujui?
   
 11. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Narudia kwa mara nyingine tena na tena bei ni dependent to some factors such as mahali ulipo, capacity ya umeme unayohitaji, brand na quality ya products utakayochagua, nk so siwezi kukutajia bei ni flani coz sijui preference yako. Watu msipende kununua mbuzi kwenye gunia, mtakuja kutapeliwa, istoshe tupende kufanya biashara kisomi, tuma email ukitoa details zako omba price quotation utapewa detailed price quotation na technical advice, n u will take your time kudigest. Haipendezi mtu kuwa muoga wa vitu vidogo kama kuulizia bei ofisini, be comfortable hata kudemand company profile afterall u are paying for the product not charity.
   
 12. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ya bei ya chini sana ni sh ngapi? Niko kijijini nataka ya kuwasha tv, taa sita na kuchaji simu na vifaa vidogo vya umeme kama tochi ya kuchaji.
   
Loading...