Kiwanja kinauzwa

Juan2006

Member
Mar 11, 2011
9
0
Kiwanja kinauzwa,kipo Kigamboni(mwongozo)kina hati na kimepimwa.Hamna dalali,simu yangu ni 0753875055
 
Usisubiri uombwe bei ndio uweke.
Wengine kama sisi tunaweza tusiombe bei tukaishia ku-&#%%@*@ kimoyomoyo!!
 
Kwa mtu ambaye yupo serious nimeweka no ya simu na email kuwa mstaarabu hata wa kukopa.Au unafikiri kila m2 mhuni mwenzio?
 
Kama unafikiri namba ni dili sana basi usingeweka hata hayo maandishi ya sijui muongozo wala kigamboni,
Bali amaetaka
 
Bali anaetaka kujua kilipo akupigie ndio umwambie!!
 
anataka watu watumie pesa kuanzia kwenye mawasiliano, sijui bei ndio itakuwaje kama anaogopa kuiweka wazi.
 
Kweli we ni mzuri,jamani kashifa za nini?Kama huoni haja c unakaa kimya?Ngozi nyeusi jaman...
 
FORSALE!FORSALE!FORSALE!
Plot no.126,block no.14 at Mwongozo(Kigamboni) in Temeke munispal.Pls call 0753875055
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom