Kwa anayetaka kununua nyumba au kiwanja tuwasiliane

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Jamani tuna nyumba nyingi sana za kuuza hapa Dar es Salaam. hasa maeneo ya kinondoni, tabata, tegeta, makumbusho , mwananyamala mwenge na kijitonyama. kuna zaidi ya nyumba 100. bei zimeanzia 20m -1b inategemea na eneo unalotaka. pia kuna nyumba chakavu nyingi maeneo ya kinondoni shamba, mwananyamala nk. nyumba ni nyingi siwezi weka picha zote hapa. nipigie niambie eneo unalotaka na bajeti yako. pia tuna viwanja zaidi ya 200 huko kikamboni tunauza kwa sqm . sqm 1 ni sh 9,000 tuambie unataka sqm ngapi. tuna maeneo ya kujenga shule na vituo vya mafuta . tuwasiliane +255 686 200 117, 0757 145555, 0755 099291
 
kwa nini usiwe na webite?itakuwa vizuri zaidi kwa kuwa una nyumba nyingi
nalifanyia kazi hilo ndugu . pamoja na kufungua bado nitaendelea kutangaza zile sehemu ambazo zinawatembeleaji wengi nitaanza na blog wiki ijayo
 
Tupe jina la blog, mie natafuta kiwanja kilichopimwa Mbezi Beach upande wa juu au wa beach angalau 50m x 50m. Ni PM kwa mazungumzo zaidi.Pia nina kimoja nauza upande wa juu wa Bagamoyo Rd ukichepuka kona ya Africana.
 
mkuu mbezi beach nina nyumba za kuuza labda ununue na kujenga upya . ninavyo viwanja pale Jagwani beach .na pia kuna kiwanja cha sqm 10,000 pale bahari beach. tuwasiliane tuone namna ya kufanya hizo kazi . nicheck thomasnelson564@yahoo.com au kwa number hizo juu
 
Back
Top Bottom