"UPS" mpya inauzwa yenye uwezo wa 2200 Watts

Mlonda

Member
Apr 3, 2012
35
2
Ni UPS nzuri ambayo imetengenezwa na kampuni ya APC, mwenye kuihitaji bei ni maelewano tu
Inapatikana maeneo ya Mbezi beach na kwa mawasliano zaidi tumia frankgodlisten@yahoo.com au tuma sms kwa namba 0786135070
 
Naiuza kwa sababu mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukaanayo, siitumii, sina ofisi yoyote ya kuitumia, ilinunuliwa ili itumike katika ofisi fulani sasa ile ofisi kwa bahati mbaya haikufunguliwa kwahiyo UPS hiyo ni kati ya bidhaa zilizobaki bila kutumika kabisa. Inauwezo mkubwa sana.
 
kama bwana dyoko unaihitaji ni wewe kufanya mawasiliano na mimi nadhani utalizika vizuri zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom