CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,509
Wakuu mimi si Dalali, ila kuna Mashamba na Viwanja WAMASAI WANAUZA KWA KASI YA KUTISHA ENEO LA KISONGO NA WAO KUKIMBILA HANDENI MKOANI TANGA, so kwa anaye hitaji mimi naweza mpeleka kwa mwenye kuuza na si kwa dalali,
Hili eneo kumbuka limetengwa kuwa Special Economic Zone kwa kanda ya Kaskazini
Hili eneo kumbuka limetengwa kuwa Special Economic Zone kwa kanda ya Kaskazini