Natafuta Fundi wa PS2

Natafuta Fundi wa PS2

Kisumbo

Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
52
Reaction score
12
Wakuu naomba mnisaidie wapi ntapata Fundi wa Playstation 2 natanguliza shukrani
 
nenda kariakoo shuka baharesa then ulizia kwa musa muuza ps maharufu sana dar

nawasilisha
 
Poa ntaenda KKoo jumamosi Mkuu naamini anaweka kujell break pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom