Nauza shamba kibaha kwa mathias

Johnson_Siame

Member
Apr 5, 2012
29
1
shamba ekari moja kwa bei ya million 5 maelewano yapo, lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu huria au open university, panaitwa viziwaziwa, ni umbali wa kama kilometre 4 toka barabara ya morogoro, kama upo tayari na unaitaji nicheki kwa namba hii...0652-110878
 
Kweli mi nataka shamba kuanzia eka 10 mpaka 30 (preferable)
Kama una eka hizo au unamjua mtu mwenye eka hizo
ningeomba tuwasiliane Asante
 
shamba ekari moja kwa bei ya million 5 maelewano yapo, lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu huria au open university, panaitwa viziwaziwa, ni umbali wa kama kilometre 4 toka barabara ya morogoro, kama upo tayari na unaitaji nicheki kwa namba hii...0652-110878

OUT wasije baadaye kudai kuwa ni sehemu yao. Kuwa karibu na nguvu za serikali dhalimu kuna shida yake. Tuhakikishie hilo!
 
Sio kuwa sababu ni karibu na chuo ndo hapa na hapo no, chuo kipo mbali kidogo, siwezi nikauza kitu uje upate matatizo, na kabla ya kununua si lazma ufike upaone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom