habarini wadau , tunatafuta location nzuri kwa ajili ya kipindi cha mahojiano ya television, tutaonyesha eneo husika, eneo liwe ni zuri kwa ajili ya burudani, exciting , entertainment au kitu...
Our company is making electric fence system for security purpose more affordable in Tanzania. We also give a warrant of one year after installation. We also deal with CCTV and motional sensor...
Hello!
Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web
Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako...
Maeneo: Mwenge, Savei, Mlimani city, Makumbusho, nk..
iwe na vyumba viwili vya kulala, sebule pamoja na jiko. Iwe ndani ya fensi.
Bajeti yangu ni 250,000.
natanguliza shukrani.
wakuu hali zenu, kwa yoyote mwenye connection ya watu wanaonunua haya magari, mie natafuta mteja, tukubaliane bei ni mil 55, tunaandikishana mkataba likifika ana nunua, hatoi hata hela yake mpaka...
habari zenu wakuu kuna iPad 2 yenye 3g na WiFi IPO kwenye hali ya upya.imetumika wiki tatu tu!.
bei 850,000 tsh maelewano yapo.
pigs 0688112112 au 0719223225
Mimi ninauza Mbwa aina ya Belgian Shepherd Malinois, nimebakiza puppies wa 3. Majike 2, Dume 1. Wamezaliwa wana wiki 1 mpaka leo trh 21 July 2012. wamezaliwa puppies wa5 wawili wapo kwenye oda...
This is for all owners of the medium size restaurants/hotel and big families. Simgas Tanzania Limited has a complete solution for you by launching its second product gas 2000 after great...
Samsung Intel,Soler Energy, HD 300GB, Ram 2GB, Linux Deepin 11.12,Nyeusi
Software za Microsoft zote zinaingia,
Haiathiriwi na Virus
Bei 600,000/= maongezi yapo!
Inamiezi miwili tu...