Natafuta Mteja wa Scania 113 Truck ya kubebea Pesa

Mfikilwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
408
116
wakuu hali zenu, kwa yoyote mwenye connection ya watu wanaonunua haya magari, mie natafuta mteja, tukubaliane bei ni mil 55, tunaandikishana mkataba likifika ana nunua, hatoi hata hela yake mpaka lifike. kama muhitaji ama unamjuwa mtu nipm

Scania 113/310
Year 1990
KM 775.789
LHD
Protection FB 6
Air Condition 1.jpg 2.jpg 3.jpg 4.jpg 5.jpg 6.jpg 7.jpg 8.jpg 9.jpg 10.jpg 11.jpg 12.jpg 13.jpg 14.jpg
 
Back
Top Bottom