Pata website za uhakika zenye viwango vya kuwa website za kampuni /biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata website za uhakika zenye viwango vya kuwa website za kampuni /biashara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Marketer, Jul 26, 2012.

 1. M

  Marketer JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hello!


  Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web
  Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako kumiliki tovuti yenu binafsi. Hatutakutengenezea tovuti ilimradi tovuti tu ila tutahakikisha tunakupatia tovuti ya kisasa itakayo vutia wateja na yenye ufanisi ili kuifanya biashara yako ipatikane zaidi mtandaoni. Tunafanya optimisation za hali ya juu kwa website za wateja wetu na kuzifanya zipatikane kirahisi kwenye search engines zote

  Wataalamu wetu ni wasomi, wamedhibitishwa(certified) na wanaujuzi wa haya mambo ya tovuti wa miaka 5 na zaidi
  Kumiliki tovuti yenu kutainufaisha biashara/huduma yenu manufaa yafuatayo
  • Mtapapatikana matandaoni 24/7 tofauti na ofisi zenu mnazokuwa wazi asubuhi na jioni tu.
  • Mtawafikia wateja wengi ndani ya mda mfupi sana
  • Wateja watafahamu zaidi kuhusu biashara yenu kwa kusoma habari zenu zaidi mtandaoni. Na pia itawaongezea ushindani kwani wapinzani wenu watakuwa wanamiliki website.
  • Pia website itaipa kampuni muonekano wa kimataifa na kiprofessional zaidi.
  • Website pia itawasaidia kuongezea maelezo kwenye matangazo yenu kwa kuweka tu link kwenye tangazo husika, ili wateja wanaohitaji habari zaidi waingie tu mtandaoni na kuzipata.
  • Website itasaidia promosheni ya bidhaa zenu, zama hizi za utandawazi watu hawana muda wa kupita na kutafuta bidhaa, waingia mtandaoni na kutizama bidhaa za kampuni mbalimbali na kufanya maamuzi.

  Bei zetu ni nafuu na kazi zetu ni za ubora wa hali ya juu sana.

  Bei zetu kwa kila kitu (registration,Hosting and Designing of highest quality) tunaanzia 700,000/= Ila mwaka unaofuata na kuendelea sababu hamna cost za designing unalipia hosting tu ambayo ni inagharimu kuanzia 100,000/= tu kutegemeana na package utakayochagua.

  Endapo kama unahitaji kimojawapo pia tunafanya na vina bei yake
  Registration 30,000/=
  Hosting Kuanzia 100,000/=
  Designing kuanzia 500,000/= kutegemeana na package na matakwa ya features atakazohitaji mteja.

  Tumefanya kazi na kampuni, asasi, mashirika, shule, vyuo na watu binafsi nyingi sana na kama unahitaji kuona sample tembelea Microtelecomms-MTC


  Mawasiliano

  MICROTELECOMMS
  P.O.Box 79307, Dar es salaam.
  Tel: +255 (22) 2461678
  Fax: +255 (22) 2461679
  Cell: 0756323213
  Website: Microtelecomms-MTC
  Email: sales@microtelecomms.com
   
Loading...