Nauza Min Laptop Samsung inayotumia Solar System | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Min Laptop Samsung inayotumia Solar System

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Yericko Nyerere, Jul 26, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Samsung Intel,Soler Energy, HD 300GB, Ram 2GB, Linux Deepin 11.12,Nyeusi

  Software za Microsoft zote zinaingia,

  Haiathiriwi na Virus

  Bei 600,000/= maongezi yapo!

  Inamiezi miwili tu tangu niinunue, niliinunua kwaajili ya kufanyia kazi maalumu tu na sasa nimeimaliza hiyo kazi ndiomaana naiuza,

  Simu +255715865544
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkubwa, inatumia Solar System? Unamaanisha nn?
  Vp huna inayotumia Solar Energy tufanye biashara?
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Haahaa mkuu lugha za watu hizi,

  Ndio hiyohiyo!
   
 4. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Imenivutia sana hiyo, ila sasa nipo mbali sana na huko mjini, nipo Mbozi.
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Oooho karibu sana bwana Nzowa, malafyaleeeeeee!
   
 6. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guarantee mda gani?
   
 7. 1

  19don JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  picha nayo ni muhimu kwenye biashara hasa kwa hizi aina mpya za notebook za solar
   
Loading...