Nitapata wapi vifaa vya soloon ya kisasa ya wanaume

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
wakuu nahitaji kujua ni duka gan hapa mjini dar es salaam linauza vifaa vya kisasa vya saloon ya kiume ,nataka kufungua soloon ,msaada wenu wadau
 
ukiwa unatokea Magomeni kuelekea posta ukifika kwenye taa za jangwani,kabla ya office ya fire,kushoto njia ya kwenda Muhimbili hospital na kulia kuna petrol station ya Total,upande wa kulia kuna yard ya magari jirani ya hii yard kuna gorofa pale wanauza.Panaitwa Radium kama sijakosea jina.Ila uwe na pesa gharama zao si mchezo
 
Back
Top Bottom