Kiwanja kinauzwa kina sqm 2,672

Kiwanja kinauzwa kina sqm 2,672

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kimepimwa na kina offer. kipo Temeke Amani gomvu ni km 23 toka feri ya kigamboni. amani gomvu ipo mbele ya gezaulole kutoka geza mpaka amani gomvu ni km 9 . kiwanja kipo tambalale . bei yake ni 6,500 @ sqm . hivyo sqm
2674 = 17,368,000 /= gari inafika mpaka hapo penye kiwanja ni mwendo wa dakika 8 kutoka barabara kuu na kuingia kilipo kiwanja . tuwasiliane 0657 145555 & 0755 099 291 Akiri.
 
wadau bei imeshuka tena hivyo sqm 1 itauzwa kwa tsh. 6000 hivyo kwa sqm 2672 = 16,032,000
 
hii bidhaa bado ipo njoo nikuunganishe na muuzaji ununue hata kwa kumlipa kwa awamu. kama uchumi wako hauko safi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom