kiwanja kinauzwa

kiwanja kinauzwa

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
hi,wanajamii.kuna kiwanja ukubwa 625 meter square kipo maeneo ya mbezi inn kinauzwa 12 m.kama unahitaji nicheki 0715/0755 200221.ahs sana
 
Hicho sio kiwanja bos, yaani hatua 5 kwa 5? Hiyo ni fremu ya duka.
 
Hicho ni kizimba tu, sijui utafanyia kitu gani
 
25 metre square?!!!!!!!!!!! umenifanya nicheke sana...
Anyway never mind najua ulitaka kumaanisha 25 X 25 ambayo nui 625 metre square...
 
rijamaa rimekutupuka utafikiri timeng'atwa na nng'e.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom