Natafuta camera hii

Natafuta camera hii

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Habari wanajamvi
Jamani mwenzenu natafuta mojawapo ya camera hizi:
canon D1100 au Sony 5100

nahitaji ya bei ya chini kadri iwezekanavyo ila mpya.
 
kaka una uhakika na unachoandika? Sony 5100?! Hiyo ni taa, tena inaitwa sony xl 5100.
 
Usinitafutie ban isiyo na sababu, ujuha wangu upo wangu unakujaje hapa? attach picha ya hiyo camera unayotaka kuniuzia shida ipo wapi?
ha!ha! pole mkuu sasa nimeshindwa kuipiga picha kama uko dar njoo hapa kino kwa manyanya uione nipigie 0657145555
 
ha!ha! pole mkuu sasa nimeshindwa kuipiga picha kama uko dar njoo hapa kino kwa manyanya uione nipigie 0657145555
Powa, nitapita kesho kama saa kumi hivi jioni, ila katika kituo cha daladala cha manyanya, sawa mkuu?. nitakutumia sms kabla.
 
Back
Top Bottom