kama heading inavyosema, nahitaji used desktop
the only spec i care for ni processor. iwe i5/ i3 au quad core. nitaweka into consideration pia core2 duo ambayo ni 3rd gen. tafadhali wakuu...
how are you everyone? house for sale!! it has 2master bedrooms,2bedrooms,1sitting room,1dining room and e.t.c the house is at Sinza, Dar es salaam Tanzania. if you are interested on it...
I am selling very healthy puppies at very reasonable price. Nice to keep as watchdogs. Already vaccinated for prevention of PAVO disease and De-wormed. In case you are interested please call no...
Nataka kufanya marekebisho flani kwenye nyumba, tayari architect amekwishafanya michoro sasa ninatafuta mtu anayeweza kufanya kazi ya ujenzi, site ipo salasala.
mtu anayeweza au mwenye interest...
Acer ICONIA Tab A500 is designed to maximize content enjoyment, providing the same rich multimedia, gaming and Web experience you can enjoy on your home PC with the added user-friendliness of the...
Wadau kwa yeyote anayeitaji Betri za UPS aina zote,Inventors za Solar tuwasiliane,zipo za aina nyingi just PM me.give me your model and quantity for quote.
Kwa Anaye hitaji please Tuwasiliane kwenye .
Watchesandmobile@gmail.com Email zinajibiwa instantly.
Kwa sasa Brand ziko za aina mbili tuu kama zinavyoonekana CASIO EDIFICE, na EMPORIO ARMANI.
Nyumba hii haijakamilika. Ina vyumba vitatu vya kulala. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 50 kwa mita 30. Bei ya kuuzia ni sh 45mil. kukiona au maelezo ya ziada tuwasiliane kupitia 07171114409.
Nina uza sony HDR-HCIE HDV 1080i MiniDV digital camcorder , Imetumika lakini inafanya kazi na ipo katika hali nzuri sana ambayo kama mpya na kama inavyo onekana katika picha bei yake sh/milioni...
Shamba hili liko Tundwi Songani karibu na barabara itokayo Kibada Kwenda Tundwi Songani (umbali wa kilometa 26 toka Kibada). Kwa mawasiliano piga simu 0787 110 117 au email: tubuni@hotmail.com
nauza digito kamera aina ta nikon ina mega plx 14 na internal memory 8gb ni yakuchaj,ina cable zake zote,c mchina,nauza laki 2.5, piga 0652740304 its me ally riyami