natafuta simu - nokia E6 or E7, or any other iliyoko na functions za izo tajwa hapo

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,360
wadau za jioni??,, natafuta simu aina ya nokia,,,kama nilivotaja aina ya model hapo juu,, napatikana arusha, lakini sku hizi mambo ya mtandao, we can just do business from any part of the world, my budget is 350,000,,, thanku all...
 
Kama unataka nina Blackberry tour 9630, contact me through 0654994899. Mpyaaa tuelewane bei.
 
wadau za jioni??,, natafuta simu aina ya nokia,,,kama nilivotaja aina ya model hapo juu,, napatikana arusha, lakini sku hizi mambo ya mtandao, we can just do business from any part of the world, my budget is 350,000,,, thanku all...

u mean the likes of Nokia E-63 or E-71, ama
 
hebu google specifications za NOKIA C7 ukiridhika nazo ..tuyajenge
 
i have E6 ndio naitumia now, nataka iuza niweze nunua simu ingine!
Je uko tayari kwa 2nd hand ambayo bado i mpya kabsaa? Unapata na kila kitu?
 
i have E6 ndio naitumia now, nataka iuza niweze nunua simu ingine!
Je uko tayari kwa 2nd hand ambayo bado i mpya kabsaa? Unapata na kila kitu?

yes boss,, nipo tiyari,,, kama simu nzima ata kama second hand inajulikana,,,na mimi mwenyewe ni fundi simu,,, can u give me ur contacts??? Au nicheki kupitia 0785131616, or 0717321336
 
Back
Top Bottom