harrier mpyaaaaa..k.m118 beii cheee

harrier mpyaaaaa..k.m118 beii cheee

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
habari wana jamvi,
leo nimewaletea Harrier( the cross country runner.)
body type; station wagon
colour; silver
engine capacity; 2990 6v VVti engine
petrol; 5 seats ;from japan
manufacture; 1998
k.m; 118
bei 18.7 mil tuu...
karibuni:redface:
 

Attachments

  • IMG-20120911-00395.jpg
    IMG-20120911-00395.jpg
    32.6 KB · Views: 95
  • IMG-20120911-00396.jpg
    IMG-20120911-00396.jpg
    30.8 KB · Views: 79
  • IMG-20120911-00398.jpg
    IMG-20120911-00398.jpg
    27.2 KB · Views: 73
nimependa heading yako

"harrier mpyaaaaa ..k.m118"


Duh bongo huachi kucheka
 
Nashindwa kuelewa ilikuwaje gari ya mwaka 1998 mpk wa leo ina kilomita 118. Imeenda dar-bgmy-dar ikapaki kwa miaka yote hiyo, loh!

Labda useme ukweli
 
Jamani acheni uoga,,
Interested buyers inbox me please
 
Nashindwa kuelewa ilikuwaje gari ya mwaka 1998 mpk wa leo ina kilomita 118. Imeenda dar-bgmy-dar ikapaki kwa miaka yote hiyo, loh!

Labda useme ukweli

Manufactured 1998..sio bought 1998
 
Kilometer ni 118000
Sio 118 ..
Nili assume akili kumkichwa na nyie ndugu zangu
 
Gari ya 1998 imetembea km.118 bongo tambarare
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom