shamba linauzwa maeneo ya Kiluvya, Wilaya ya Kisarawe katika Mkoa wa Pwani. Shamba liko karibia kabisa na bonde la mto hivyo basi supply ya maji ni ya uhakika mwaka mzima.
Lina ukubwa wa hekari...
gari Aina Ya Carina Inauzwa..Bei Maelewano..karibu Uone Gari Na Ujipangie Bei..For More Info And Car Specifications Please Diall or Txt : +255717783919
JF, Tafadhali mwenye kufaham anisaidie.
Bei ya toyota hiace kwa zanzibar mpake kuileta dar ni bei gani.
gari ambayo ipo kwene hali nzuri (uhakuka wa kufanya kazi japo miezi 18 bila kulet usumbufu...
Tangaza Marketing Solutions:
Ni Kampuni inajishughulisha na Advertising,Marketing & Promotions:
Inatoa huduma kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Wadogo na Wakubwa,
Lengo kuu ni kuwasaidia...
Wadau nisaidieni natafuta vyumba viwili ya kupanga (Chumba na sebule, chumba kikiwa master ni nzuri zaidi) iwe kwenye usalama zaidi mi nasafiri sana. naomba kuwakillisha, msaada wenu tafadhari.
Gari Inauzwa Opah,Ni Mpya Kabisa From Japan,uje Uangalie Gari Na Bei Upange Wewe,For More Info,And Car's Specifications Na Maelekezo Mengine Please Diall : +255717783919
Habari
Nauza nyumba ya vyumba 4 iliyo kwenye shamba la ukubwa wa mita 56 kwa 26
Shamba lina minazi, miembe, mfesi, mananasi na mazao mengine.
Bei Tsh 35,000,000 na tunaweza pia kuongea kwa aliye...
Awande General Enterprise (T) LTD
(AGE LTD)
Box 23134,Dar es Slaam
Email; ageltd@gmail.com
Maelezo ya watu wanaotafuta nyumba za kupanga au kununua Nyumba, shamba, kiwanja au gari nk.
Jina...
Honda capa ya mwaka 2000 rangi yake ni nyeusi imetumika mwaka mmoja ndani ya dar es salaam tu na inauwezo wa kubeba abiria watano na sehemu ya mizigo nyuma..uwezo wake wa kula mfuta ni mdogo sana...
Wanajamvi kuna nyumba ya vyumba 4, flemu 6 choo na bafu,ina wapangaji pia umeme full cealing board na imepakwa rangi inauzwa maeneo ya kibaha kwa mathias(msangani) juhudi,eneo hili la juhudi ni...
Used BB 9700 or BB 9300 Inahitajika..Unapewa 120k,with N95 (Original) Hacked,You wont Get Certificate Errors when You download Apps.. njoo Tufanye Biashara Number Yangu Ya Simu Ni 0718-882873,call...
Ni vitabu viwili, kila kimoja kina page 1300. Kurasa zake zina picha na michoro yenye rangi na ndio sababu sikuona umuhimu wa kuviprint kwenye printer za kawaida. Nahitaji nakala moja kwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.