Nyumba inauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jichokuu, Aug 16, 2012.

 1. J

  Jichokuu Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi kuna nyumba ya vyumba 4, flemu 6 choo na bafu,ina wapangaji pia umeme full cealing board na imepakwa rangi inauzwa maeneo ya kibaha kwa mathias(msangani) juhudi,eneo hili la juhudi ni maarufu kwa biashara na ni kilometa 6 toka kwa mathias (barabara ya lami) morogoro road. bei ni 50mln ila wawezalipia kwa awamu. Kwa maulizo piga :
  0719081205
   
 2. M

  Mfuatiliaji Senior Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 152
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  uwanja mkubwa kiasi gani>
   
Loading...