Msaada: Bei ya Kuchapisha Vitabu.

Msaada: Bei ya Kuchapisha Vitabu.

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,246
Reaction score
12,789
Ni vitabu viwili, kila kimoja kina page 1300. Kurasa zake zina picha na michoro yenye rangi na ndio sababu sikuona umuhimu wa kuviprint kwenye printer za kawaida. Nahitaji nakala moja kwa kila kitabu. Wanajamvi itanigharimu shilingi ngapi? Asanteni kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom