Natafuta nyumba ya kupanga Bigwa/Kolla Morogoro

Natafuta nyumba ya kupanga Bigwa/Kolla Morogoro

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Wadau natafuta nyumba ya kupanga Morogoro maeneo ya Kolla yote mpaka Bigwa,iwe chumba na sebule au vyumba viwili na sebule
 
Ninayo nyumba maeneo ya mzumbe pale changarawe Kama utahitaji
 
ungesema kihonda nongekuachia ya kwangu maana nategemea kuhama mji wk mbili hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom