Kama unauza mali au unataka kununua mali yo yote jaza fomu hii, kisha tutumie

MORIAH

Senior Member
Aug 13, 2012
103
51
Awande General Enterprise (T) LTD
(AGE LTD)
Box 23134,Dar es Slaam
Email; ageltd@gmail.com

Maelezo ya watu wanaotafuta nyumba za kupanga au kununua Nyumba, shamba, kiwanja au gari nk.

Jina ………………………………………………………...

Simu ……………………………email…………………………..

Sehemu anakoishi…………………………………………

Eleza mambo ambayo ungeyataka yawepo ktk mali unayotaka kununua au Nyumba ya unayotaka kuipanga? ……………………………………………………………………………………………..………………………...………………………………………
Dau lako ni kati ya Tsh ………………..(chini) ……………...(juu kabisa)

Kuanzia Lini Ungependa kununua mali husika/kupanga nyumba?.......................................................................................…………….

Ni nini usingetaka kiwepo ktk mali unayolenga kununua?
..........................................................................................................................
...........................................................................................................................

NB; Wapangaji watalipa kampuni kodi ya mwezi moja.

Mawasiliano
0658 123 445.
Email; ageltd@gmail.com



Ukimwelekeza mteja kwetu, utapata 10% ya kile ambacho kampuni kitalipwa na uliyemleta

Fomu hii ni kwa ajili ya wanaotaka mali, hata hivyo, kama unauza tuma taarifa tu.

 
Hupo serious mkuu. Mbona fomu yako haipo rasmi? Mbona Haijakamilika?
Nikijaza halafu kinafuata nini?
 
Hupo serious mkuu. Mbona fomu yako haipo rasmi? Mbona Haijakamilika?
Nikijaza halafu kinafuata nini?

Mkuu taratibu tunafika, fomu maalum zinatengenezwa. Tangu tuingie sokono hatuna mwaka mkuu. hata hivyo, huduma zetu ni bora kuliko utapeli wa madalali wasio na ofisi.
 
kama unauza mali tuma email tu, kisha tutasign mkataba wa sisi kupiga picha mali yako na kuinadi maeneo mbali mbali.

Ndio najua mtapiga picha na kuinadi maana ndo hasa kazi yenu, ila mi nilitaka kujua mnachukua commission kiasi gani baada ya kuiuza hiyo mali yangu?
 
Back
Top Bottom