GARI LINAUZWA.(Millioni 5na nusu)

Peter Msechu

New Member
Aug 16, 2012
4
0
Honda capa ya mwaka 2000 rangi yake ni nyeusi imetumika mwaka mmoja ndani ya dar es salaam tu na inauwezo wa kubeba abiria watano na sehemu ya mizigo nyuma..uwezo wake wa kula mfuta ni mdogo sana kwni ni cc 1350 haijawahi gongwa wala kupata tatizo lolote kila mwezi imekuwa ikienda service... Kama uko intereste please call this no+255714205958
 
Sio lile gari lako la Tusker Project Fame hili? Taja bei ya kuuza Mkuu...

Atalingekuwa la tusker fame linakuhusu nini? Mtu kaweka bidhaa yake hapo kama unataka kuinunua nunua ila siyo unaleta sound nyiiiiingi. Kilichokosekana ni picha tuu kama kunaa mtu analitaka kununua awasiliyane nayeye
 
haya magari ya zawadi huwa nasikia hampewi kadi ila kwa sababu tutaenda kuhakiki mwaga picha tulione.
 
Honda capa ya mwaka 2000 rangi yake ni nyeusi imetumika mwaka mmoja ndani ya dar es salaam tu na inauwezo wa kubeba abiria watano na sehemu ya mizigo nyuma..uwezo wake wa kula mfuta ni mdogo sana kwni ni cc 1350 haijawahi gongwa wala kupata tatizo lolote kila mwezi imekuwa ikienda service... Kama uko intereste please call this no+255714205958

haya pic hiyo wadau
 
Attachments

  • honda capa.jpg
    honda capa.jpg
    458.5 KB · Views: 285
Nikusaidie Kuikuza Wadau wa Honda pengine wataipenda Ukiiuza Asilimia kidogo Changia JF

Back
Top Bottom