Gari ToyoTa Opa..Inauzwa Ni Mpya Kabisa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ToyoTa Opa..Inauzwa Ni Mpya Kabisa..

Discussion in 'Matangazo madogo' started by callist, Aug 17, 2012.

 1. callist

  callist Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gari Inauzwa Opah,Ni Mpya Kabisa From Japan,uje Uangalie Gari Na Bei Upange Wewe,For More Info,And Car's Specifications Na Maelekezo Mengine Please Diall : +255717783919
   

  Attached Files:

 2. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  marketing ngumu sana kwako
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,570
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kiongozi. Ndiyo maana watu wanasomea!
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,792
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Kama mpya kwanini waiuza? Kwanini uliinunua sasa?!
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,571
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180

  lugha ya mtaani akisema mpya anamaanisha just imported...
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,189
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Ofa yangu mil 3 hailipi wala nn
   
 7. callist

  callist Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tangazo Limewekwa Kwa anayehitaji,kama Hauitaji Just Shut up and Move..We Ulitaka Uambiwe Nini?? watanzania hatuendelei Kwa Kujitia Wajuaji Na Kumbe Ni Mabogaz..kwa Taarifa Yako Hyo Marketing Unayoizungumzia Watu Tumeisomea Thus y Tumeweka Tangazo fupi Ili anayehisi Anahitaji aweze Kupiga Na Kupewa Info Zote.. kama Imekukera..just Shut up na kama unajua kuongea Kaimbe taarabu au nenda facebook, Jf siyo Kwako.!!
   
 8. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,982
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  biashara ngumu sana kwako..hujui mteja ni mfalme teehteeh
   
 9. chadog

  chadog Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  m7 huuzi?
   
 10. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 712
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Bei mkuu... Km ngapi?
   
 11. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mkuu tafuta kazi nyingine ya kufanya, udalali huuwezi

  acha jeuri kwenye biashara chalii
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  Kama umesomea Marketing itakuwa ngazi ya CHETI!:baby:
   
Loading...