Habari wandugu
Kuna kiwanja kinauzwa Mtwara Mjini Kipo mtaa wa kilimahewa, kiwanja hiki kinukubwa wa eneo la mita za mraba zaidi 2300 ( kama nusu heka), Sehemu yote ya maeneo haya imepimwa ila...
Halo
Kama nilivyo sema siku chache zilizo pita kwamba kiwanja kinauzwa kipo mtwara mjini, mtaa wa mjimwema, kiwanja kinaukubwa wa zaidi ya 2300 metre squre, bei yake ni 14M.
Sasa nimeambatanisha...
wakuu,nauza gari aina ya Toyota Premio ya mwaka 2000,niliingiza from japan sept 2010,mileage 154000, cc 2000 ipo kwenye hali nzuri, bei 7,000,000, natumia simu ntaweka picha baadaye kidogo,kwa...
Ninauza samsung galaxy tab 10.1 P7500 3G kwa sh laki saba tu.
Ina sapoti 3G na wifi with 32gb internal memory.
Ni tab yangu na nimeituma kwa mwezi mmoja.
Haina mchubuko hata mmoja.
Ukitaka...
natafuta laptop used iwe na sifa zifuatazo, iwe SATA na speed isipungue 2GHZ, iwe katika hali nzuri, hata kama haina RAM na hard disk nitaweka mwenyewe, bei isizidi laki mbili(200,000). kwa...
natafuta laptop used iwe na sifa zifuatazo, iwe SATA na speed isipungue 2GHZ, iwe katika hali nzuri, hata kama haina RAM na hard disk nitaweka mwenyewe, bei isizidi laki mbili(200,000). kwa yeyote...
Wadau kuna dell d620 inauzwa hapa,ni USED ina mwaka mmoja na nusu RAM=1GB HDD=80GB and 32bit OS BEI=Tsh 280,000/= za kitanzania Matatizo 1.Betri imekufa 2.Ina small ink spot katika screen dizain...
Wadau kuna mdogo wangu yupo uk amemaliza masomo yake anatarajia kuja na gari ambayo alikuwa anaitumia alipokuwa huko sasa nauliza ile sheria ya msamaha wa ushuru kwa wanafunzi bado upo au...
Ipo na kila kitu chake , imetumika mwezi 1
-kuna charger
-earphones
-box lake
-manual
-(software za kuflash na customized images)
Haina mikwaruzo ya aina yeyote
nipigie 0655123683/0759123683...
simu ipo katika hali nzuri,imetumika kidogo tu,ipo dar es salaam kwa bei ya 220 000 kwa bahati mbaya simu haina charger na bei ni fixed.nitumie sms 0763 309632 au 0658 309632
wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza nahitaji laptop mbili mpya za apple,budget yangu ni 1,800,000 kwa zote mbili..nipo arusha
contacts: 0715425054
Tuna bulk sms ambazo zinakuwa customized kwenye sender names unaweka ur name or ur business name instead ya ur number (kama msg za Mpesa na Tigopesa zikiingia zinaonyesha zimetoka MPESA au...
Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku...
Natafuta nyumba ya kupanga - iwe 2 bedroomed (1 master), maeneo ya Mbezi Beach kati ya Tangi Bovu - Makonde. Budget ni Tshs. 250,000 - 350,000.
Isiwe mbali sana na barabara na iwe na fence, luku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.