Plot Mtwara Mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plot Mtwara Mjini

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mzani, Aug 23, 2012.

 1. Mzani

  Mzani Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wandugu

  Kuna kiwanja kinauzwa Mtwara Mjini Kipo mtaa wa kilimahewa, kiwanja hiki kinukubwa wa eneo la mita za mraba zaidi 2300 ( kama nusu heka), Sehemu yote ya maeneo haya imepimwa ila hapajaanza kujengwa.

  hicho kiwanja,kipo kwenye mwinuko bahari unaiyona kwa mbali na mikoko ya baharini ipo umbali wa nusu km kutoka kwenye kiwanja hicho.

  Kwa yeyote anayetaka kukiona hicho kiwanja au kupata maelezo zaidi piga simu na. 0784 707789
   
 2. washwa washwa

  washwa washwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 1,522
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  toa bei acha longo longo
   
 3. u

  ureni JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Inabidi JF mtengeneze tamplate ya mauzo muweke vitu ambavyo ni mandatory mtu kusema wakati anapoweka tangazo lake la kuuza kitu ili kuzuia usumbufu kwa wateja.
   
 4. m

  mahyolo Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  toa bei tafadhali
   
 5. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kuwa serious wewe..hiyo namba mbona haipatikani!?
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Weka bei kwanza, nisije kukupigia simu nikapoteza muda na senti
   
 7. H

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  huyu hayuko serious, halafu hawa madalali siku hizi asilimia 90% yao ni matapeli hawana hata kiwanja cha kukanyagia miguu yao iliyopinda. NB: lakini kwa huyu sina uhakika, pengine ni mtu mwema,...ila tunaomba atoe bei, kama hatoi bei ameleta cha nini hapa? unataka namba zetu za simu tukupigie ili uzifanyie nini? uzitumie kututapeli au kutapeli ndugu zetu?/
   
 8. Mzani

  Mzani Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani wandugu kwa kuwa kimya

  Mimi siyo mbabaishaji jamani,
  Bei ya hicho kiwanja ni 14M tu, Kwa wale ambao wapo mtwara au wanaweza kupata nafasi ya kuja, mi nawasihi waje tu kukiona hicho kiwanja, kwani kuona ni bure.
  Nafikiri mnasikia mengi kuhusu mtwara, kama una unapesa wahi kabla hakuja changamka kwa sana.


  NB: nataka kutuma ramani ya eneo naomba mnielekeze, ili muweze kupata picha ya ninachokisema
  Namba yangu inapatikana mda wote ni 0784707789
   
 9. Mzani

  Mzani Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ehe!

  Nimegoogle earth hilieneo la viwanja, kwa maana ya kwamba bara bara kuu kuelekea mikindani/Lindi/Dar inaonekana pamoja na bahari inaonekana.Kwa hiyo hii picha inatoa ufafanuzi mzuri kuhusu hiki kiwanja, na wale wenye pesa zao wataweza kutathmini thamani ya hii asset/kiwanja. Sasa naomba mnielekeze wanajamii jinsi ya kuattach hii picha/ramani mimi sijui

  Asante
   
 10. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Unatumia kompyuta au simu?
  Kama unatumia computa save picha kwenye kompyuta the ukiwa unapost JF angali juu ya message box kuna tools panel, ukiweka arrow yako kwenye hizo tools utaona moja imeandikwa insert image (hii ni ya saba toka kulia mstari wa chini), click hiyo then fuata maelekezo...
   
 11. Mzani

  Mzani Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa maelekezo ZeMarcopolo

  Kama nimekuelewa vizuri, Kwa hiyo inabidi nipost upwa.
  Nafanya hivyo sasa hivi
   
 12. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mzani siyo lazima upost upya. Just click edit post, then unaongeza picha. Hakukusha cursor iko sehemu ambayo unataka picha ikae.
   
Loading...