natafuta two new apple laptops in arusha

natafuta two new apple laptops in arusha

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza nahitaji laptop mbili mpya za apple,budget yangu ni 1,800,000 kwa zote mbili..nipo arusha
contacts: 0715425054
 
Mkuu nadhani unahitaji ku-specify zaidi, ni model gani unataka.
na inch ngapi, hebu pitia pale Sound & Vision ukaone kile unachohitaji.
It is way cheaper than Dar.
 
Mkuu nadhani unahitaji ku-specify zaidi, ni model gani unataka.
na inch ngapi, hebu pitia pale Sound & Vision ukaone kile unachohitaji.
It is way cheaper than Dar.

mkuu pale sound and vision hawana laptop za apple..kuhusu specification kwangu cha muhim iwe apple kwanza then from there we can talk..
 
mkuu pale sound and vision hawana laptop za apple..kuhusu specification kwangu cha muhim iwe apple kwanza then from there we can talk..

Mara ya mwisho kupita hapo ni lini?]
wanazo zote, + iMac. Labda MacPro ndo sijaona hapo, na MacBook Air.
 
ilikua kama mwez mmoja uliopita..mkuu bei ina-range kwenye ngapi..?

Nazokumbuka ni kama ifuatavyo.

MacBook Pro 13" 2.4GHz Intel Core i5, 4GB, 500GB HDD = 1,415 USD
MacBook Pro 15" 2.2GHz Intel Core i7, 4GB ????GB HDD = 2,099 USD
MacBook Pro 17" 2.4GHz Intel Core i7, 4GB, 1TB HDD = 2,899 USD

iMac 21.5" Intel Core i5, 4GB, 500GB HDD = 1,550 USD
iMac 27" Intel Core i5, 4GB, 1TB HDD = 2,099 USD

As far as I remember, hizi ndo prices zao.
 
dah mkuu hiyo bei yao ni ndef sana..mimi maximum price nayoweza kutoa kwa zote mbili ni 2,500,000..labda mkuu unidirect kwingine
 
Ni kweli, sound and vision zipo kibao, ila ni za uarabuni. Tofauti na maduka mawili ya hapa dar (elite computers and iStop shop) wao wana genuine mac laptops.
 
Ni kweli, sound and vision zipo kibao, ila ni za uarabuni. Tofauti na maduka mawili ya hapa dar (elite computers and iStop shop) wao wana genuine mac laptops.

mkuu hayo maduka ya dar bei yao vipi..?
 
utapata za kichina tena brand new zikiwa na mac lion x, na hutoweza kujua kama si apple yenyewe utadhan ndo yenyewe kabisa.
 
utapata za kichina tena brand new zikiwa na mac lion x, na hutoweza kujua kama si apple yenyewe utadhan ndo yenyewe kabisa.

mkuu wewe unawezaje kujua ipi orijino na ipi kichina..?tupeane hayo maujanja nisije nkaingizwa mjini..!
 
Ongeza bei kidogo upate moja mpya na moja used kutoka kwa Authorized dealers wa East Afrika.
 
mkuu hiyo siyo bei halisi..biashara ni maelewano.
bei zake unazijua mkuu?..usitake usivoviweza.
tembelea hapa uone bei za mashine mpya. Hizo bei ni kwa nchi zenye huduma ya free-shipping. Kwa bongo ongezea gharama za usafirishaji na cha juu cha mfanyabiashara..ukizingatia hayo utapata picha kamili. Mtu yoyote akitaka kukuuzia mashine mpya chini ya hizo bei ujue anakuuzia kanyaboya.
 
Back
Top Bottom