Nyumba ya kuppanga maeneo ya Mbezi Beach

Theodora

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
802
570
Natafuta nyumba ya kupanga - iwe 2 bedroomed (1 master), maeneo ya Mbezi Beach kati ya Tangi Bovu - Makonde. Budget ni Tshs. 250,000 - 350,000.

Isiwe mbali sana na barabara na iwe na fence, luku ya kujitegemea.

Very serious.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom