Habari zenu waungwana, naomba kuuliza kwa mwenye taarifa;Je ni kweli kuwa TRA wamepunguza miaka kuwa gari likiwa ni zaidi ya miaka saba unapigwa penalti?maana zamani nakumbuka ilikuwa ni miaka...
Nyumba self contained ipo mbezi mshikamano inapangishwa. inafaa kwa wanafunzi wa Chuo kikuu st Joseph, bei ni 300,000 kwa mwezi. kama ni wanafunzi wanaweza wakajiunga hata 6 kwani nyumba ina...
Sony DCR-VX9000E Pal Full Size DV Camcorder 3CCD ya kazi ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo tayari kwa kuanza kazi.Kama mnavojua kampuni ya SONY ni moja ya kampuni zenye...
Hii ni Camera ya kazi inawafaa wale wenyekushughulika na uandishi wa habari au wenye kushughulika na mambo ya shooting movies n.k.Ni Camera nzuri sana na imetumika lakini ipo katika hali nzuri...
Range Rover Sport, Condition Nzuri imetembea 75,000km.
Na Caravan vilevile.. Kwa bei na picha angalia http://www.jontwa.webs.com
Nimeweka picha na contact zote katika website hii. Tuwasiliane kwa...
Land Rover iko katika hali nzuri kabisaaa na haijawahi pata ajali wa kufanyiwa engine haul, jino moja inawaka mpk indiketa angalia picha.
Hakuna mtu wa kati bei ni 13M tu kwa serious buyers please...
Hello Wana Jamii, hope this advert finds you well.
Nilikuwa nahitaji 3 power supplies for Dell Optiplex 380 for starters but later the complete order will require up to 15 pieces of the same CPU...
Hi There!
We register, design & upload websites within two working days.
Starting from simple to complex database driven websites, we do it urgently and in smart look
Prices: FREE domain...
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Kimara Temboni mpaka Mbezi isiwe mbali na barabara iwe na vyumba 3 vya kulala na Car Parking, umeme na maji, mtaa mzuri kwa malezi ya watoto na security...
Waungwana nahitaji nyumba ya kupanga Moro mitaa ya Kola,msamvu ama Mjini kati.arimradi iwe na uzio.Hata chumba na sebule sawa.Na kama kuna ambayo ni full furnished ni nzuri zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.